LUKE
Chapter 15
Luke | Swahili | 15:2 | Mafarisayo na walimu wa Sheria wakaanza kunung'unika: "Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao." | |
Luke | Swahili | 15:4 | "Hivi, mtu akiwa na kondoo mia, akigundua kwamba mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na tisa mbugani, na kwenda kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate. | |
Luke | Swahili | 15:6 |
Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake akiwaambia, | |
Luke | Swahili | 15:7 | Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu. | |
Luke | Swahili | 15:8 | "Au mwaonaje? Tuseme mwanamke fulani ana sarafu kumi za fedha, akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha taa, aifagie nyumba na kuitafuta kwa uangalifu mpaka aipate. | |
Luke | Swahili | 15:9 |
Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake akisema, | |
Luke | Swahili | 15:10 | Kadhalika nawaambieni, ndivyo watakavyofurahi malaika wa Mungu kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja anayetubu." | |
Luke | Swahili | 15:12 |
Yule mdogo, alimwambia baba yake: | |
Luke | Swahili | 15:13 | Baada ya siku chache, yule mdogo aliuza urithi wake, akasafiri na fedha aliyopata, akaenda nchi ya mbali ambako aliitumia ovyo. | |
Luke | Swahili | 15:14 | Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika. | |
Luke | Swahili | 15:15 | Akaomba kazi kwa mwananchi mtu mmoja wa huko naye akampeleka shambani mwake kulisha nguruwe. | |
Luke | Swahili | 15:17 |
Alipoanza kupata akili akafikiri: | |
Luke | Swahili | 15:18 | Nitarudi kwa baba yangu na kumwambia: Baba, nimemkosea Mungu, na nimekukosea wewe pia. | |
Luke | Swahili | 15:20 | Basi, akaanza safari ya kurudi kwa baba yake. Alipokuwa bado yu mbali, baba yake alimwona, na kwa moyo wa huruma alimkimbilia, akamkumbatia na kumbusu. | |
Luke | Swahili | 15:21 |
"Mwanawe akamwambia: | |
Luke | Swahili | 15:22 |
Lakini baba yake akawaambia watumishi wake: | |
Luke | Swahili | 15:24 |
Kwa sababu huyu mwanangu alikuwa amekufa, kumbe yu mzima alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana. | |
Luke | Swahili | 15:25 | "Wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani akasikia vifijo na ngoma. | |
Luke | Swahili | 15:27 |
Huyo mtumishi akamwambia: | |
Luke | Swahili | 15:28 | Huyo kijana mkubwa akawaka hasira hata akakataa kuingia nyumbani. Baba yake akatoka nje na kumsihi aingie. | |
Luke | Swahili | 15:29 |
Lakini yeye akamjibu: | |
Luke | Swahili | 15:30 |
Lakini mtoto wako huyu aliyekula mali yako pamoja na makahaba, mara tu alipokuja umemchinjia yule ndama mnono. | |
Luke | Swahili | 15:31 |
Baba yake akamjibu: | |