LUKE
Chapter 17
Luke | Swahili | 17:1 | Kisha, Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Haiwezekani kabisa kusitokee vikwazo vinavyosababisha dhambi; lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha. | |
Luke | Swahili | 17:2 | Ingekuwa afadhali kwake kufungiwa shingoni jiwe kubwa la kusagia na kutoswa baharini, kuliko kumkwaza mmoja wa wadogo hawa. | |
Luke | Swahili | 17:4 |
Na kama akikukosea mara saba kwa siku, na kila mara akarudi kwako akisema | |
Luke | Swahili | 17:6 |
Naye Bwana akajibu, "Kama imani yenu ingekuwa ndogo hata kama chembe ndogo ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu: | |
Luke | Swahili | 17:7 |
"Tuseme mmoja wenu ana mtumishi ambaye analima shambani au anachunga kondoo. Je, anaporudi kutoka shambani, atamwambia: | |
Luke | Swahili | 17:8 |
La! Atamwambia: | |
Luke | Swahili | 17:10 |
Hali kadhalika na ninyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni: | |
Luke | Swahili | 17:12 | Alipokuwa anaingia katika kijiji kimoja, watu kumi wenye ukoma walikutana naye, wakasimama kwa mbali. | |
Luke | Swahili | 17:14 | Alipowaona akawaambia, "Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani." Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika. | |
Luke | Swahili | 17:20 | Wakati mmoja, Mafarisayo walimwuliza Yesu, "Ufalme wa Mungu utakuja lini?" Naye akawajibu, "Ufalme wa Mungu hauji kwa namna itakayoweza kuonekana. | |
Luke | Swahili | 17:21 |
Wala hakuna atakayeweza kusema, | |
Luke | Swahili | 17:22 | Halafu akawaambia wanafunzi wake, "Siku zinakuja ambapo mtatamani kuona mojawapo ya siku za Mwana wa Mtu, lakini hamtaiona. | |
Luke | Swahili | 17:24 | Kwa maana kama vile umeme unavyotokea ghafla na kuangaza anga upande mmoja hadi mwingine, ndivyo Mwana wa Mtu atakavyokuwa siku yake. | |
Luke | Swahili | 17:27 | Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote. | |
Luke | Swahili | 17:28 | Itakuwa kama ilivyotokea wakati wa Loti. Watu waliendelea kula na kunywa, kununua na kuuza, kupanda mbegu na kujenga. | |
Luke | Swahili | 17:29 | Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, moto na kiberiti vikanyesha kama mvua kutoka mbinguni na kuwaangamiza wote. | |
Luke | Swahili | 17:31 | "Siku hiyo, yeyote atakayekuwa juu ya paa asishuke nyumbani kuchukua mali yake. Kadhalika, naye atakayekuwa shambani asirudi nyuma. | |
Luke | Swahili | 17:33 | Yeyote anayetaka kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na yeyote anayeipoteza, ataiokoa. | |
Luke | Swahili | 17:34 | Nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala pamoja, mmoja atachukuliwa na yule mwingine ataachwa. | |
Luke | Swahili | 17:35 | Wanawake wawili watakuwa wakisaga nafaka pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa." | |