MATTHEW
Chapter 21
Matt | Swahili | 21:1 | Yesu na wanafunzi wake walipokaribia Yerusalemu na kufika Bethfage katika mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili, | |
Matt | Swahili | 21:2 | akawaambia, "Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu. | |
Matt | Swahili | 21:3 |
Kama mtu akiwauliza sababu, mwambieni, | |
Matt | Swahili | 21:5 | "Uambieni mji wa Sioni: Tazama, Mfalme wako anakujia! Ni mpole na amepanda punda, mwana punda, mtoto wa punda." | |
Matt | Swahili | 21:7 | Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake. | |
Matt | Swahili | 21:8 | Umati mkubwa wa watu ukatandaza nguo zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza barabarani. | |
Matt | Swahili | 21:9 | Makundi ya watu waliomtangulia na wale waliomfuata wakapaaza sauti: "Hosana Mwana wa Daudi! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana! Hosana Mungu juu mbinguni!" | |
Matt | Swahili | 21:10 | Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu, mji wote ukajaa ghasia. Watu wakawa wanauliza, "Huyu ni nani?" | |
Matt | Swahili | 21:11 | Watu katika ule umati wakasema, "Huyu ni nabii Yesu, kutoka Nazareti katika mkoa wa Galilaya." | |
Matt | Swahili | 21:12 | Basi, Yesu akaingia Hekaluni, akawafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu ndani ya Hekalu; akazipindua meza za wale waliokuwa wanavunja fedha, na viti vya wale waliokuwa wanauza njiwa. | |
Matt | Swahili | 21:13 |
Akawaambia, "Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: | |
Matt | Swahili | 21:15 | Basi, makuhani wakuu na walimu wa Sheria walipoyaona maajabu aliyoyafanya Yesu, na pia watoto walipokuwa wanapaaza sauti zao Hekaluni wakisema: "Sifa kwa Mwana wa Daudi," wakakasirika. | |
Matt | Swahili | 21:16 |
Hivyo wakamwambia, "Je, husikii wanachosema?" Yesu akawajibu, "Naam, nasikia! Je hamjasoma Maandiko haya Matakatifu? | |
Matt | Swahili | 21:19 | Akauona mtini mmoja kando ya njia, akauendea; lakini aliukuta hauma chochote ila majani matupu. Basi akauambia, "Usizae tena matunda milele!" Papo hapo huo mtini ukanyauka. | |
Matt | Swahili | 21:20 | Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, "Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?" | |
Matt | Swahili | 21:21 |
Yesu akawajibu, "Kweli nawaambieni, kama mkiwa na imani bila kuwa na mashaka, mnaweza si tu kufanya hivyo, bali hata mkiuambia mlima huu: | |
Matt | Swahili | 21:23 | Yesu aliingia Hekaluni, akawa anafundisha. Alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, "Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa mamlaka haya?" | |
Matt | Swahili | 21:24 | Yesu akawajibu, "Na mimi nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, basi nami nitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. | |
Matt | Swahili | 21:25 |
Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka kwa nani? Je, yalitoka mbinguni ama kwa watu?" Lakini wakajadiliana wao kwa wao hivi: "Tukisema, | |
Matt | Swahili | 21:26 |
Na tukisema, | |
Matt | Swahili | 21:27 | Basi, wakamjibu, "Hatujui!" Naye Yesu akawaambia, "Nami pia sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. | |
Matt | Swahili | 21:28 |
"Ninyi mnaonaje; mtu mmoja alikuwa na wana wawili. Akamwambia yule wa kwanza, | |
Matt | Swahili | 21:29 |
Yule kijana akamwambia, | |
Matt | Swahili | 21:30 |
Yule baba akamwambia mtoto wake wa pili vivyo hivyo, naye akamjibu, | |
Matt | Swahili | 21:31 | Je, ni nani kati ya hawa wawili aliyetimiza matakwa ya baba yake?" Wakamjibu, "Yule mtoto wa kwanza." Basi, Yesu akawaambia, "Kweli nawaambieni, watoza ushuru na waasherati wataingia katika Ufalme wa Mungu kabla yenu. | |
Matt | Swahili | 21:32 | Maana Yohane alikuja kwenu akawaonyesha njia njema ya kuishi, nanyi hamkumwamini; lakini watoza ushuru na waasherati walimwamini. Hata baada ya kuona hayo yote ninyi hamkubadili mioyo yenu, na hamkusadiki." | |
Matt | Swahili | 21:33 | Yesu akasema, "Sikilizeni mfano mwingine. Mtu mmoja mwenye nyumba alilima shamba la mizabibu; akalizungushia ukuta, akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga humo mnara pia. Kisha akalikodisha kwa wakulima, akasafiri kwenda nchi ya mbali. | |
Matt | Swahili | 21:34 | Wakati wa mavuno ulipofika, aliwatuma watumishi wake kwa wale wakulima, ili wakachukue sehemu ya mavuno yake. | |
Matt | Swahili | 21:35 | Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamwua na mwingine wakampiga mawe. | |
Matt | Swahili | 21:36 | Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile. | |
Matt | Swahili | 21:38 |
Lakini wale wakulima walipomwona mwanawe wakasemezana wao kwa wao: | |
Matt | Swahili | 21:41 | Wao wakamjibu, "Atawaangamiza vibaya hao waovu, na lile shamba atawapa wakulima wengine ambao watampa sehemu ya mavuno wakati wa mavuno." | |
Matt | Swahili | 21:42 |
Hapo Yesu akawaambia, "Je, hamkusoma jambo hili katika Maandiko Matakatifu? | |
Matt | Swahili | 21:43 | "Kwa hiyo nawaambieni, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wa mataifa mengine wenye kutoa matunda yake." | |
Matt | Swahili | 21:44 | "Atakayeanguka juu ya jiwe hilo atavunjika vipandevipande; na likimwangukia mtu yeyote, litamponda." | |
Matt | Swahili | 21:45 | Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao. | |