LUKE
Chapter 14
Luke | Swahili | 14:1 | Siku moja ya Sabato, Yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo; watu waliokuwapo hapo wakawa wanamchunguza. | |
Luke | Swahili | 14:3 | Yesu akawauliza walimu wa Sheria na Mafarisayo, "Je, ni halali au la kumponya mtu siku ya sabato?" | |
Luke | Swahili | 14:4 | Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake. | |
Luke | Swahili | 14:5 | Halafu akawaambia, "Ni nani kati yenu ambaye mtoto wake au ng'ombe wake akitumbukia shimoni, hangemtoa hata kama ni siku ya Sabato?" | |
Luke | Swahili | 14:7 | Yesu aliona jinsi wale walioalikwa walivyokuwa wanajichagulia nafasi za heshima, akawaambia mfano: | |
Luke | Swahili | 14:8 | "Kama mtu akikualika arusini, usiketi mahali pa heshima isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe; | |
Luke | Swahili | 14:9 |
na mwenyeji wenu ninyi wawili atakuja na kukwambia: | |
Luke | Swahili | 14:10 |
Bali ukialikwa kwenye karamu, keti mahali pa mwisho, ili mwenyeji wako atakapokuja akwambie: | |
Luke | Swahili | 14:12 | Halafu akamwambia na yule aliyemwalika, "Kama ukiwaandalia watu karamu mchana au jioni, usiwaalike rafiki zako au jamaa zako au jirani zako walio matajiri, wasije nao wakakualika nawe ukawa umelipwa kile ulichowatendea. | |
Luke | Swahili | 14:14 | nawe utakuwa umepata baraka, kwa kuwa hao hawana cha kukulipa. Maana Mungu atakupa tuzo lako wakati watu wema watakapofufuka." | |
Luke | Swahili | 14:15 | Mmoja wa wale waliokuwa wameketi pamoja na Yesu akasema, "Ana heri mtu yule atakayekula chakula katika Ufalme wa Mungu." | |
Luke | Swahili | 14:17 |
Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake awaambie walioalikwa, | |
Luke | Swahili | 14:18 |
Lakini wote, kwa namna moja, wakaanza kuomba radhi. Wa kwanza akamwambia mtumishi: | |
Luke | Swahili | 14:19 |
Mwingine akasema: | |
Luke | Swahili | 14:21 |
Mtumishi huyo akarudi na kumwarifu bwana wake jambo hilo. Yule mwenye nyumba alikasirika, akamwambia mtumishi wake: | |
Luke | Swahili | 14:22 |
Baadaye, mtumishi huyo akasema: | |
Luke | Swahili | 14:23 |
Yule bwana akamwambia mtumishi: | |
Luke | Swahili | 14:24 |
Kwa maana, nawaambieni, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeonja karamu yangu." | |
Luke | Swahili | 14:25 | Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia akawaambia, | |
Luke | Swahili | 14:26 | "Mtu yeyote akija kwangu, asipowachukia baba na mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. | |
Luke | Swahili | 14:28 | Kwa maana, ni nani miongoni mwenu ambaye akitaka kujenga mnara hataketi kwanza akadirie gharama zake ili ajue kama ana kiasi cha kutosha cha kumalizia? | |
Luke | Swahili | 14:31 | "Au, ni mfalme gani ambaye, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, hataketi kwanza chini na kufikiri kama ataweza, kwa askari wake elfu ishirini? | |
Luke | Swahili | 14:32 | Kama anaona hataweza, atawatuma wajumbe kutaka masharti ya amani wakati mfalme huyo mwingine angali mbali. | |
Luke | Swahili | 14:33 | Vivyo hivyo, basi, hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa mwanafunzi wangu kama asipoachilia kila kitu alicho nacho. | |